Staa anayetikisa kwenye muziki wa Bongo Fleva hivi
sasa Diamond Platnumz amepata shavu la kuwa
balozi wa mtandao wa simu wa vodacom kwenye
promosheni yao mpya ya ongea daily. Kwa upande
wake Diamond amesema kuwa amefurahishwa na
tukio hilo kwa kuwa ni kitu ambacho akijawai kutokea
Tanzania.
“ Kiukweli kwangu leo ni siku kubwa kwa sababu hiki
kitu hakijawai kufanyika Tanzania,ni mara ya kwanza
kuwa
brand ambasador wa vodacom ni kitu ambacho
hakijawahi kutokea Tanzania” alisema Diamond
ambaye ameshawai kuwa balozi wa kampuni kadhaa
ikiwemo Cocacola na Muziiki“.
2.05.2016
Diamond Platnumz ateuliwa kuwa balozi wa Vodacom,asema ni mara ya kwanza Tanzania.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment